wakazi wa ngorongoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakazi wa Ngorongoro si wa kwanza kupisha hifadhi

    Eneo la Hifadhi la Ngorongoro (NCA) lilianzishwa mwaka 1959 kama eneo la kipekee la matumizi ya mseto, ambapo uhifadhi, utalii, na maisha ya jadi ya jamii ya Wamasai vingeweza kuishi kwa pamoja. Lengo lilikuwa ni kulinda wanyamapori huku Wamasai wakiendelea na maisha yao ya ufugaji. Hata hivyo...
  2. Mkunazi Njiwa

    Si wamaasai bali ni watanzania wakazi wa Ngorongoro

    Mashirika ya kimataifa yanapiga pesa ndefu..... Asasi za kiraia nchini "zinapiga pesa ndefu".... Wote hao wanapinga watanzania wenzetu kuitwa wakazi wa Ngorongoro bali wanataka waitwe WAMAASAI...jamii ya kimaasai..... Kinyume na neno hilo "mipesa" itapungua na hwenda baadhi ya "NGO's" zikakosa...
Back
Top Bottom