wake zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

    Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
  2. Kama Wake zetu wangejua wanapotunyima penzi tunakua na hasira kiasi gani, wasingejaribu hata kidogo

    Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira. Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo? Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea...
  3. Hivi hii Tabia ya wanawake (wake zetu) kuacha simu ovyo ni ya wanawake wote ama mimi tu?

    Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati. Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua. Visingizio hivi ni vya miaka na miaka haijawahi kubadirika kitu. Kuna muda itakupasa upige simu kwa jirani maana...
  4. Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  5. Je tukifanya Prank hii kwa wake zetu wa Kiafrica watalia ama kucheka?

    Hivi tukifanya Prank hizi kwa wake zetu wa Kiafrica watacheka ama kulia? Tazama Video hii
  6. E

    Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia. Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana. Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo...
  7. Hebu 'singo mama' saidieni wake zetu kupata wasaidizi wa kazi za nyumbani.

    Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi? Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha. Hizi sampuli wanazojipatia...
  8. Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

    Habarini ndugu wana JF Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli? Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu. Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme...
  9. Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  10. Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

    "Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani." "Sisi kama...
  11. Wanaume kuna wakati tunakubali kununiwa na wake zetu pale tunapo warudisha watoto ndani ya mstari

    Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake, lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii vizuri tu nikimwambia kitu anatekeleza, mfano lala, kaa , nisubirie hapo hapo,usichukue, acha...
  12. Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

    Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake Kazi inamfanya...
  13. J

    Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu. Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake...
  14. Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

    WATIBELI HATUPIGI WAKE ZETU, na BINTI ZETU HAWAPIGWAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli bhana ukiishi na Sisi unaweza fikiri hatuna hasira. Yaani mambo yetu tunayasuluhisha simple simple tuu. Yaani mpaka ugombane na Taikon basi ujue umemchokoa Sana, tena Sana. Hii ni Kwa sababu...
  15. Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  16. Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

    Yaani hata ukikaa wiki bila kushiriki mechi hauulizwi chochote wala haukumbushwi
  17. Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  18. Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  19. Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola...
  20. TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

    Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…