Habari za Jumapili,
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa...