wakenya vs watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu mwengine amenotice sikuhizi wakenya wanazidi kuongezeka kwenye taasisi za serikali na usimamizi wa rasilimali za nchi ?

    Kwa muda mrefu, Kenya imekuwa na msimamo mkali linapokuja suala la kuruhusu Watanzania kuingia kwenye mifumo ya serikali yao na kupata fursa katika rasilimali zao, inakuwaje kwa upande wa Tanzania, Wakenya wanaonekana kupata nafasi na fursa hizo kwa urahisi kiasi hiki ? Mkunda aliwahi kuonya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

    Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…