Katika taarifa 'exclusive' iliyochapishwa na Reuters, ni kwamba usiku mmoja kabla ya kiongozi wa muda mrefu Sheikh Hasina kukimbia ghafla kutoka Bangladesh kutokana na maandamano yenye vurugu, mkuu wake wa jeshi alifanya mkutano na majenerali wake na kuamua kuwa wanajeshi hawatawafyatulia risasi...