Wadau hamjamboni nyote?
Historia imeandikwa nchini Kenya
Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu
Kawaida Rais akiwa mkikuyu Naibu hutoka kabila jingina na ikitokea Rais siyo mkikuyu Naibu wake Huwa mkikuyu...
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.