MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025 juu ya shauri la Dkt. Wilbroad Slaa au lah.
Hakimu Nyaki ameomba kupata muda huo wa kutafakari...
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga
Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Januari 24.2025 shauri lililofunguliwa Mahakamani hapo na Mwanaharakati Dkt. Willbroad Slaa dhidi ya Jamhuri, akiiomba Mahakama hiyo kufuta kesi ya jinai aliyofunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Ameeleza...
Wakuu,
Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi.
Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba...
Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, imeendelea kupata changamoto baada ya kutolewa uamuzi mdogo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani.
Kesi hiyo, ambayo...
Wakili Peter Madeleka ambaye ni mwanasheria wa Juanna Chifunda amesema uharibifu uliofanyika kwenye fremu za maduka Mikocheni B ni uvamizi na wahusika watawawajibisha kwa mujibu wa sheria na ikiwemo mteja wake kidai fidia isiyopungua Shilingi bilioni mbili (2,000,000,000).
Wakili Madeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.