Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, imeendelea kupata changamoto baada ya kutolewa uamuzi mdogo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...