wakili msomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kwa sababu za kiafya, maombi ya dhamana ya Dr. Slaa yasajilliwa kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Wakuu, Mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri, Dkt. Wilbrod Peter Slaa, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Tanzania impatie dhamana akisubiri rufaa yake ya jinai kusikilizwa. Ombi hili limewasilishwa chini ya hati ya dharura kubwa na wakili wake, Hekima Mwasipu, likieleza kuwa Dkt. Slaa amewekwa...
  2. L

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  3. Gabeji

    Pre GE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

    Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana. Upinzani ukiwa imara siku...
  4. gcmmedia

    Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

    Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa. Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana...
  5. Idugunde

    Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  6. Superbug

    Wakili Msomi Mwabukusi anza na shambulio la Lissu na kupotea kwa Ben Saanane

    Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya: 1. Shambulio la Tundu Lissu 2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda. Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo...
  7. K

    Hongera sana wakili msomi Mwabukusi

    Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili...
  8. L

    Murtaza Mangungu nakushauri mtafute Wakili Msomi Llyod Nchunga akueleze aliondokaje Yanga ili na wewe uondoke kwa amani

    Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
  9. L

    Murtaza Mangungu, nakushauri mtafute Wakili Msomi Lloyd Nchunga akueleze aliondokaje Simba

    Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
  10. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  11. B

    Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  12. B

    Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  13. B

    Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  14. B

    Wakili Msomi Mwabukusi; Je, ndiye 'Daudi' wa Tanzania au tumtazamie mwingine?

    Nawasalimu kwa jina la Bwana. Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17. Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
  15. K

    Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

    Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
  16. Carlos The Jackal

    Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  18. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  19. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  20. C

    Bado mnamwita Wakili msomi?

    Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
Back
Top Bottom