wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani. Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili No wonder nchi hii...
  2. P

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  3. Wakili Madeleka kuhenyeshwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, ni kesi mpya ya mwaka 2024

    Bila shaka tasnia ya sheria sasa itakaa kwenye mstari, Mwanasheria Mkuu hataki ubabaishaji. Sasa huu ndio utawala wa sheria tunaoutaka.
  4. Wakili Msando na mkewe wachemka mahakamani, waamuriwa kulipa fidia ya milioni 175

    Mahakama Kuu, imewaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji. Hii ni baada ya mrufani wa kwanza, The Don’s Group Tanzania ya Jijini Arusha na...
  5. K

    TLS na ukimya juu ya Leseni ya Wakili Fatuma Karume, kilichofanyika ni haki?

    Hoja yangu kama inavyojieleza, hivi haya matukio ya Fatuma Karume, na swala la Mwambukusi wajuvi au wasomi wetu wa Sheria imekaaje na ukimya wa TLS? Je, haki ilitendeka au ndio ile funika kombe mwanaharamu apite? Kiukwel inanitia shaka juu ya mstakabali wa wasomi wetu wenye uelewa wa kutokuwa...
  6. Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

    "Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili. Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio...
  7. Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume

    "Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye...
  8. M

    Peter Madeleka: DPP acha kupotosha umma, hakuna sheria inayomzuia wakili kuweka nyaraka mitandaoni

    Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE Ofisi ya Umma na AJE TUPAMBANE JUKWAANI. Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na...
  9. Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

    "Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
  10. Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  11. Utawala wa Kizayuni wakili kupata pigo kubwa ndani ya masaa 24

    Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
  12. Wakili Mpole Mpoki kufungua kesi 8 kupinga kusimamishwa Uwakili

    Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo. Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  13. Rais TLS atoa msimamo Wakili Mpoki kufungiwa miezi 6

    Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki. Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila...
  14. Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  15. J

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku...
  16. Inaitwa "Colonal Crime", Msamaha hautoshi, Ujerumani ilipe fidia

    Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie mgeni wetu Rais wa Shirikisho la Ujerumani kuwa hayo ni Makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. KUHUSU...
  17. UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  18. Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko muendelezo Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na...
  19. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  20. Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…