wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  2. Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  3. Je, tumeshamsahau Wakili Mzalendo Peter Madeleka? Nini kifanyike?

    Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili Mzalendo, Msomi Peter Madeleka yupo rumande akisubiri mchakato wa kesi yake ya msingi uanze. Mahakama...
  4. Jopo litakalo mhukumu Wakili Mwakabusi [Simba wa Mbeya]

    Ndugu Watanzania! Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi...
  5. Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

    Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje. Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
  6. Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    #Update KESI YA BANDARI. Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20 MAJAJI watatu; 1. Hon. Ndunguru 2. Hon. Ismail 3. Hon. Kagomba Wote wameinama wanaandika Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote. MAWAKILI WA SERIKALI; 1. Adv. Mark Muluambo 2. Edson Mwaiyunge 3...
  7. Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

    Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and mining sectors, as well as experience working on disputes in a range of other industry sectors...
  8. Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

    "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
  9. Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  10. Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati...
  11. Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  12. Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

    Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi ameachiwa huru majira ya saa 12 jioni (Julai 14, 2023) baada ya kuhojiwa kwa zaidi ya saa saba katika Ofisi ya makao kikuu ya Polisi mkoa wa Mbeya. Akizungumza na Jambo Tv baada ya kumaliza mahojiano yake na Polisi, Mwabukusi amesema aliitwa na Jeshi...
  13. Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  14. Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  15. J

    Magazeti ya leo yasusia kuripoti press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi

    Nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu. Pia soma: UTPC yalaani kauli ya Dkt. Slaa inayodharirisha waandishi wa habari, yataka aombe radhi Balozi Dkt...
  16. K

    Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

    Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari. Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo? Katika hali ya kawaida, ilitegemewa...
  17. Wakili Mwabukusi: Mkataba wa Bandari ni wa Kijambazi na Uvamizi dhidi ya Tanzania

    Wakili Boniface Mwabukusi amesema wao kama Wanasheria hawatoruhusu Mikataba ya Kijinga, Wizi, Ufisadi na isiyo ya Kizalendo ikiwemo kuwepo Viongozi ambao wanatoka waziwazi na kushangilia Wizi na kuongeza kuwa Mkataba wa Ushirikiano wa Dubai na Tanzania ni wa Kijambazi. Amewambia Mawaziri Nape...
  18. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura...
  19. R

    Wakili Madeleka: Kauli aliyotoa Masauni inathibitisha hafahamu wajibu anaoutumikia, inawezekana alipewa kwa bahati mbaya

    Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
  20. Wakili Madeleka: Bunge lilipitisha Mkataba na siyo Makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai

    Huu ni mkataba, akija mtu akasema kuwa haya ni makubaliano mkatalieni ni muongo. Muongo ni muongo tu. Bunge lilipitisha Mkataba. Bunge halina mamlaka ya kupokea na kujadili na kuridhia makubaliano. Kilichojadiliwa ndani ya bunge la Tanzania ni mkataba. Vipngozi wa Serikali wanaona labda kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…