Serikali ya Rwanda imesema haitarejesha pesa ilizopewa na Uingereza kwenye mpango walioingia awali wa Uingereza kupeleka wakimbizi nchini Rwanda. Mpaka sasa Uingereza imeilipa Kigali dola za kimarekeani milioni 307.
Awali Rais Kagame wakati wanaingia mkataba alipendekeza kurejesha fedha endapo...
Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party kupigwa teke kwenye uchaguzi. Chama cha Labour wamesema hawataendeleza mpango huo.
Mipango ya kagame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.