Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party kupigwa teke kwenye uchaguzi. Chama cha Labour wamesema hawataendeleza mpango huo.
Mipango ya kagame...