wakiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    China-US TechWar: Pentagon wakiri ni vigumu kuachana na huduma za Huawei kikamili

    Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
  2. Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti Afghanistan

    Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in...
  3. Wasimamizi Millennium Tower 2 wakiri changamoto ya lifti, waomba watumiaji kuwa wavumilivu marekebisho yakiendelea

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
  4. Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  5. P

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  6. HAMAS wakiri kupoteza magaidi 6,000

    Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto... A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000 fighters during the four-month-old conflict, half the 12,000 Israel says it has killed. =============...
  7. Utawala wa Kizayuni wakili kupata pigo kubwa ndani ya masaa 24

    Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
  8. Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

    Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff. Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi. Kifo chake...
  9. Wanachama wa kamati ya usalama Urusi wakiri "special operation" imeshindikana

    Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku wakitoroka mapambano. ============== A member of Russia's State Duma Security Committee has suggested...
  10. Polisi wabanwa, wakiri madai ya kuhusishwa na Mauaji, waamua Kujichunguza

    Wananchi Walitetea Jeshi,wataka wazazi Kutolinda Wahalifu
  11. Urusi wakiri kupokea kichapo Kharkiv, huku wananchi wa Ukraine wakijitokeza kufanya usafi

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi....... ========================== CHUHUIV, Ukraine — After...
  12. Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu...
  13. TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

    TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa...
  14. D

    Mbeya: Kisa cha watoto kutoroshwa, baadhi ya wazazi wakiri kuridhia watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Siku mbili baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kuwarejesha watoto 11, waliokuwa wanadaiwa kuwa walitoroshwa na kuuzwa kwa wafugaji wilayani Mbarali, ili watumike kuchunga mifugo, baadhi ya wazazi wa watoto hao wameibuka na kudai waliridhia watoto wao kwenda kufanya kazi hiyo. ===== Septemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…