Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida ,
Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na makundi ya kiurafiki yasiyo na faida yanaweza yakawa kikwazo cha maendeleo yako.
Dunia haimthamini maskini.