Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni.
Meneja...
Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa.
Ndugu yangu amefadhaika sana baada ya kampuni moja ya mtandaoni kumsambazia jumbe za kumdhalilisha. Kweli...
Jana mheshimiwa Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo Ina majukumu ya Kulinda na kutunza faragha za watu.
Sasa Kuna mtindo umezuka ambapo Online Creditors Wamekuwa wanasambaza taarifa binafsi za Wateja Wao Kwa watu mbalimbali ambao Huwa wanawasiliana Kwa kuwapigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.