wakorofi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

    Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya. Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
  2. M

    Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

    Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili? Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
  3. Bodaboda wazee ni wakoloni

    Wakuu,,.hawa ndugu zetu ambao wanaendesha bodaboda hali ya kuwa umri wao kidogo umesogea huwa wanakuwaga na ka ukoloni flani hivi. Leo nikiwa nimetokea kigamboni,niliposhuka na pantoni pale ferry nilipointiwa na abiria alie kuwa akielekea jengo la RITA Tower..,,niliposimama ili niweze kufanya...
  4. Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress, Leo katuma mwingine kuchukua mzigo. Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi, Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order...
  5. Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia. Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
  6. H

    Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  7. KUNA TETESI WAKOLONI WA KIJERUUMANI WALIKUWA WAKOROFI KUZIDI WAINGEREZA, NI KWELI?

    Hao wajerumani kuna stori zao kwamba walikuwa ni wakorofi sana enzi hizo hapa ni koloni lao. je pana ukweli au ni story
  8. Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  9. M

    Msaada: Najiandaa kwenda kutambulishwa ukweni kwenye familia ambayo baba na mkwe ni wakorofi

    Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana. Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyo...
  10. Idadi kubwa ya waendesha pikipiki ni wabishi, wakorofi na wajeuri

    Tunashukuru Wachina kutufikisha vyombo vya moto kama pikipiki. Ila ni moja la janga kubwa katika taifa kuanzia kwenye matumizi yake kufikia kujiingiza kwenye hualifu, uporaji kwa kutumia chombo chenyewe, uporaji wa pikipiki na mauaji yake, ajali za pikipiki na n.k Tuje kwenye matumizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…