Wakuu,
Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa usionekane hata ukucha.
Yaani wanafanya maigizo ambayo yanakukandamiza wewe na kuzidi kuonesha picha...
Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake.
Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana.
Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani.
Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika.
Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo.
Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
Je, na Wengine ( Wakosoaji uwafananishao na Ng'ombe ) wakienda mbali zaidi na Kukuita Wewe Empty Clove Island Baloon utafurahi nawe Kuvumilia kama Wao wanavyokuvumilia?
Ngoja kwa sasa Ng'ombe ninyamaze.
Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
amavubi gfsonwin
amnesty
amnesty international
bandari
international
king'asti asprin
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mara
mkataba
moja
mpango
uae
wakosoaji
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.
Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito.
Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania
Mkataba huo utaruhusu...
bandari
binadamu
haki za binadamu
human
human rights
human rights watch
kimataifa
kukamata
mkataba
mkataba wa bandari
nchini
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
ubinafsishaji
wakosoaji
wapinzani
watch
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini.
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza...
Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.