Wakulima wa zao la Ngano Wilayani Makete, wameshauriwa kutumia Mashine bora za kisasa katika Uvunaji wa zao hilo, ambao umeshanza rasmi katika baadhi ya Maeneo ikiwemo kijiji Cha Mlengu kilichopo Kata ya Kigala.
Ushauri huo umetolewa Julai 13, 2024, na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Samwel...