Jamani Wana JM.na wakulima woote.
Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana.
Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis (Makabe) karibuni sana...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...