wakulima wa miwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania TRA kuchunguza vikwazo vya TIN kwa wakulima wa Miwa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepanga kuchunguza changamoto zinazowakabili wakulima wa miwa kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), kwa lengo la kurahisisha shughuli zao za biashara na kuwawezesha kutimiza wajibu wa kodi bila vikwazo visivyo vya lazima. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph...
  2. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wakulima wa Miwa, Wilbroad Cyprian asema “Mazungumzo yanaendelea na Kagera Sugar kuhusu malipo ya Wakulima wa Miwa

    Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea kinachoendelea. Hoja ya Mdau ~ Kiwanda cha Kagera Sugar kilipe madeni ya Wakulima wa Miwa, wana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wamtaka Rais akifika Kilombero aitishe mkutano wamueleze malalamiko yao

    Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa wanatumiwa na Waziri Bashe kuficha aibu ya kutunga sheria ya kuua kilimo cha miwa na viwanda vya sukari...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
  6. JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Sababu za Luhaga Mpina kuwafungulia Kesi ya Sukari. Spika wa Bunge(Tulia Ackson), Waziri wa Kilimo (Hussein Bashe) na Wakulima wa Miwa

    TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA KILIMO CHA ZAO LA MIWA NCHINI. LEO TAREHE 29 JULAI 2024. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari...
  7. JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wampinga Luhaga Mpina

    Wakulima wa Miwa katika Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na kudai bei ya miwa imeporomoka na hawalipwi fedha zao kwa wakati. Hii ngoma amini usiamini maelekezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…