wakunga hospitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC): Wahitimu wanaosubiri Leseni wawe watulivu, tupo kwenye mchakato

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo. Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
  2. R

    Wauguzi walimwambia anawasumbua akajifungua sakafuni, kichanga chafariki

    Hai. Mkazi wa Wilaya ya Hai, Happiness Massawe (39), amegoma kuchukua mwili wa kichanga hospitalini kwa wiki moja akidai kifo cha mtoto wake kimetokana na uzembe wa baadhi ya wauguzi. Happiness, aliyejifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro alisema Oktoba 31 mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…