wakurugenzi wa halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa Code

    Wakurugenzi wasiteuliwe, ofisi zao zimegeuka vijiwe vya siasa, bado wanawaza kodi za choo

    Mbunge wa Conchesta Leonce Rwamlaza ameonyesha nia ya mabadiliko ya Katiba kutoka na Ufujaji wa Pesa za Maendeleo na Tozo mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri unaofanywa na watumishi wa halmashauri kupitia nafasi ya Mkurungenzi ambae mamlaka yake ya kupata nafasi hiyo ni uteuzi Ngazi ya Rais...
  2. J

    Katika Vitu ambavyo Shujaa Magufuli alikuwa anakosea ni Kuteua Wanasiasa kuwa Watendaji Serikalini!

    Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za Kwenye vyama Vya Siasa na Taasisi zake Angalia Teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri Hapa Tanzania...
  3. S

    Mamlaka ziwaondoe Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote na kuteua wapya wenye weledi

    Ni vizuri wananchi tuchukue nafasi ya kuwamulika viongozi wasiowajibika, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kutokana na tuhuma mbalimbali zinazowakabili za matumizi mabaya ya madaraka, rushwa na miradi mingi kujengwa chini ya kiwango kwenye maeneo yao. Hii inatokana na Mabaraza ya...
  4. The Sheriff

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira. Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi...
  5. M

    Kwanini wanatenguliwa Wakurugenzi wa Halmashauri pekee na Si wa taasisi?

    Serikali ya CCM Kila siku inatumbua wakurugenzi wa Halmashauri, ambapo naona ni uonevu kwa kiasi Fulani. Serikali aigusi wakurugenzi wa taasisi za serikali, ambao ni wakurugenzi wa vitengo mbalimbali, ambao wengi hawana utendaji mzuri hata kidogo, na Wana mishahara mikubwa, mara nne ya...
  6. Heparin

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo...
  7. Chachu Ombara

    Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  8. F

    Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Watakiwa kutenga Fedha za Ndani ili Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi

    WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala. Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023...
  10. J

    Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

    Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI. Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge. Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni...
  11. mkamanga original

    USHAURI: Rais teua Wakurugenzi wa Halmashauri, Halmashauri zinakufa huku

    Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri. Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini" umesababisha viongozi hao ku-relux na kutofanya kazi. Wapo wanaosema mama unaingiza watu wako ,hivyo...
  12. J

    Kiukweli Uchaguzi Mkuu unasimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri, sijui kwanini CHADEMA hawalioni hili

    Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC. Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine walishawahi kugombea ubunge, halafu mnataka tuamini CHADEMA ni chama cha Upinzani, kweli? "Watanzania...
  13. B

    Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

    Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
  14. The Assassin

    UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  15. B

    Rais Samia, wakumbuke watumishi wa umma katika teuzi za Ma-DED, Ma-DAS na wakuu wa Taasisi za Umma

    MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma 1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni ile ya watendaji katika shughuli za kisiasa ikiwemo Mawaziri, Manaibu Waziri, ma-RC, na ma-DC. Ya...
Back
Top Bottom