wakurya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mallerina

    Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

    Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila...
  2. technically

    Wakurya Shikamooni

    Hawa jamaa ni majasiri Sana unakumbuka zile kelele za nishati Safi. Sasa Kuna maliasili na polisi walijichanganya wakaingia anga za wakurya wanaojishughulisha na biashara ya mkaa kwenye ili pori la kuelekea kisarawe pale. Aisee walichokutana nacho hawatokaa warudi tena kwenye lile pori. Yaani...
  3. U

    Je Kuna tofauti baina ya makabila ya Wakisii na Wakurya?

    Wadau hamjamboni nyote? Makabila mawili ya Wakisii na Wakurya Je ipi tofauti baina yao? Aksanteni
  4. Eli Cohen

    Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

  5. matunduizi

    Kwanini hizi mila za kutembea na silaha (wamasai na wakurya) zisiwe halali maporini na sio mijini?

    Makabila haya mawili licha ya uzuri wao huws yanakitu kinaitwa Mori. Ukiwachokoza nje ya uvumilivu wao wanapanda mori wanakuwa kama wanyama. Akili zinakuwa hazipo anafanya chochote. Kwa bahati mbaya licha ya kuwa na sifa hii hatarishi ambayo makabira mengine mengi hayana bado ndio wanaoongoza...
  6. sky soldier

    Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

    Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu, Watu wengi wanakoseaga kudhani kwamba wazanaki ni kabila moja na wakurya sababu wote wana mfanano wa lugha, hili ni kosa! hapa nchini tunaongea wote kiswahili lakini ni makabila...
  7. M

    Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

    It is very painful ===== Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyangoto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi usiku akirejea nyumbani. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa...
  8. kyagata

    Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  9. Perry

    Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

    Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya? Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to...
  10. Perry

    Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Anyone yuko familiar with kuryans?
  11. Jitu jeusi

    Historia ya kabila la Wakurya

    Je Wajua? KABILA LA WAKURYA Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005...
  12. sky soldier

    Aliepotosha wakurya hawana neno la "Nisamehe" na "Naomba" ni muongo tu

    Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"... Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe) "TANYABHERHA" Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA" Sentensi "Naomba unisamehe " "Ndaghosasama tanyabhera" Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia...
  13. K

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
Back
Top Bottom