Mpo salama!
Ni hakika Kesho Lisu anashinda.
Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo.
Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa.
Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe...
Wakuu habari za Leo?
Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma.
Nimefanya nao KAZI kwa muda mrefu takribani Miaka 15+ kwa mkataba mfupi mfupi mpaka pale wao (DCT) walipoamua...
Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa.
Salim Bakhresa amejenga biashara na kutoa ajira kwa mazingira magumu sana. Hajawahi na wala hana sifa ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha hukoo
"CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima"
"Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa.
Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa
Katika vitu ambayo...
Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama.
Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo.
Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more.
2. Time table aipo equal in all...
Rushwa ni tatizo kubwa sana na imefika wakati wa kuwa na daftari maalumu la wala rushwa wote na watoa rushwa wote ambao wamepelekwa mahakamani na kuthibitishwa.
Hiyo list iwe ma majina na namba zao za NIDA. Lakini watoa mikopo na huduma nyingine wawe wanaweza kuangalia hiyo database kwa...
VIONGOZI WALA RUSHWA BAADHI KWA NJAA ZAO WANAJITOA UFAHAMU NA KUSIMAMA HADHARANI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA TUWAONYE WAACHE UJINGA .
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Ujinga wa kupenda Rushwa Kisha watu kujitoa ufahamu kutetea maovu...
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani.
Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana.
Hili limepinguza...
Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo.
Swali dogo tu; je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama...
Naona sasa hili tatizo la kuwaonea huruma wala rushwa hata serikali imeanza kuliona
1. Badala kuwafukuza viongozi wanaofuja wamekuwa wakihamishwa
2. Rushwa kama hizi za Polisi barabarani kuonekana sio rushwa!
3. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
4. Madaktari na manesi kushinda...
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua??
Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti?
Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.