walaji misosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Kuna binadamu wanakula jamani, nani aliwahi kukushangaza kwenye sekta ya misosi?

    Mimi ni wanangu wa kiume, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi. Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni...
Back
Top Bottom