Mimi ni wanangu wa kiume, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi.
Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula wali wao na mboga watakayokua wamejipikia, Kwa wiki tunamaliza kilo 40 za mchele. Wakiwa wanakula ni...