Hakuna ubishi kuwa S2kizzy aka Zombie ndiye producer mkali sana hivi sasa na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuachia hit songs tu na kujijengea heshima ndani na nje ya Bongo.
Hivi karibuni S2Kizzy alitangaza ku-record wimbo bure kwa wanafunzi wa chuo, na habari hii ilivutia umati mkubwa. Jana...