walalahoi

  1. MK254

    Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  2. Crocodiletooth

    Asante Makonda kwa kutugusa sisi walalahoi wa chini kabisa

    Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura! Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa, kunyanyaswa, kudhulumiwa na mengi tu mabaya ya hovyo hutufika sisi ikiwapo kunyanganywa haki zetu wakati...
  3. Mhafidhina07

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kampeni ya kutowahonga wanawake inawanufaisha wanawake wenye vipato na kuwaumiza walalahoi na fukara

    Jumapili iko Pouwa bila Shaka! Kampeni inayoendelea Kwa Vijana isemayo "linda kibunda chako" inaratibiwa Kwa kificho na Wanawake wenye vipato au wenye kazi za kuajiriwa. Wakati nipo chuo nilibahatika kukutana na Wanawake wenye uwezo WA kiuchumi na wenye kazi zenye Mishahara mizuri. Mara Kwa...
  5. I

    Je, uzalendo ni kwa walalahoi tu mbona viongozi wetu hawaoneshi kwa vitendo?

    Je wajua ?? 1. Raisi halipi kodi 2. Makamu wa raisi halipi kodi 3. Waziri mkuu halipi kodi 4. Mawaziri hawalipi kodi 5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi 6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi 7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi 8. Wabunge hawalipi kodi Hawa wote hakuna hata Senti Moja...
  6. Mganguzi

    Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

    Wandugu asalaam! Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
  7. saidoo25

    Mawaziri wanajifungia kwenye viyoyozi wakilamba asali walalahoi wakishindwa kupata mlo mmoja

    MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku "MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
  8. Mpinzire

    NI Ujinga uliopitiliza kuongeza Posho za safari mpaka Tsh 250,000 kwa siku huku mkitujazia matozo kila sehemu sie walalahoi.

    Rejea Gazeti la Mwananchi la May 27, 2022 Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais...
  9. Nyankurungu2020

    Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

    Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja. Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini...
  10. E

    Hayati Magufuli alitufundisha walalahoi kuchagua walalahoi wenzetu

    Kuna watu hawawazi kama kuna watu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Unakuta baba ni fundi na anategemea akitoka akapata kibarua ndiyo nyumbani wanasonga ugali, baba ni machinga akitoka akatembeza vitu mitaani ndiyo familia inakula. Wapo watu tangu wamezaliwa hawajawahi kukosa chai kuanzia...
  11. N

    Viongozi kama Waziri Mwigulu hawahusiki kabisa na tozo zote, tunalipa sisi walalahoi

    Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta haipo tena. Hili...
  12. M

    Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

    Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake. Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na...
  13. Leslie Mbena

    Kifo cha Rais Magufuli: Wanyonge na Walalahoi wanajua walichopoteza

    KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA. Leo 12:20hrs 21/03/2021 Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati John Pombe Magufuli, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mh Godwin Gondwe...
  14. M

    Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

    Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
  15. Kibosho1

    Serikali inashindwa nini kuboresha maeneo ya kitalii kama haya kujiongezea pesa kuliko kuendelea kukamua walalahoi kwa vitu vidogo?

    Kwa sasa kilo moja ya ngano imefika 1500 na inakwenda juu, vivyo hivyo kwa sembe. Kuna jamaa mmoja kanipigia simu anadai bandarini huko wanakamuliwa sana ndio maana mitaani mambo yamebadilika. Tuna maeneo mengi sana ya kitalii yanaweza kuingizia serikali pesa nyingi tu,shida inakuja je haya...
  16. Crocodiletooth

    Tozo za huduma wa utoaji fedha wa makampuni ya simu ni wizi wa wazi kwa walalahoi

    Kwa kweli tozo za utoaji wa fedha kwa mitandao kwa sasa sio rafiki tena kwa Mtanzania wa kawaida ni kummaliza kwani unapotumiwa kiasi cha 10 000 kampuni wanakata kiasi cha shilingi 1000 hii ikimaanisha ni 10% ambayo kwa kweli ni kiwango kikubwa mno na pia ni kama wizi au kumuibia mnyonge ambaye...
  17. Kaka Pekee

    Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

    Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Back
Top Bottom