Wanaweza
Wanaweza walemavu, tubadili dhana zetu. Wanaweza tuwape nguvu, tusiwadharau katu
Kawapa mola werevu, tuwaache wathubutu.
Wanaweza kisiasa, kuongoza nchi yetu. Wanaweza kwa hamasa, tuwape dhamana zetu
Ni wakati wao sasa, nao kuongoza watu.
Wanaweza kielimu, tupo nao mavyuoni. Ulemavu...