Wakubwa baadhi wenye vyeo Walevi wa Madaraka Wabinafsi wanapanga safu. Wanatutemea mate kwa kusigina ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu za Chama. Wanaweka viongozi walio kinyume na matakwa ya maandiko ya kimfumo.
Wanatumia michawa mijinga jinga kusifu uovu ambao utawanufaisha hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.