I salute you kinsmen.
Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona.
Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa...
BIla shaka wote mko vyema
Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana.
Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida
Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.
Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni changamoto kiasi hasa ukiwa mgeni wa kaya ambayo hutumia sahani moja wakati wa kula.
Salaam; Wana jukwaa
Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ?
Nawasilisha
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula
Hatua ya...
Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi.
Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali.
Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo)
Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni.
Wanaume wengi...
"Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu".
Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha...
Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
Habari,
Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta.
Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua.
Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.