wali

Wali - chakula/pishi linalotayarishwa kwa kuchemsha mchele uliyochanywa na mafuta
  1. Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  2. R

    Wabunge wengi wamerejea majimboni kuwanunulia wapiga kura wali wa Christmas na Pombe huku wakilipa social media wapost matukio katika picha

    Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa...
  3. Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

    Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
  4. Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  5. Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

    Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
  6. M

    Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  7. B

    Shinyanga: Mama amchoma moto mwanawe kwa tuhuma za kudokoa wali

    Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata, Manispaa ya Shinyanga, amechomwa moto mikono yake yote miwili na mama yake mzazi kwa madai ya kula wali uliokuwa umebaki. Emanuel Kayange ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Sido, amekemea kitendo hicho, huku mtoto mwenyewe...
  8. Siku ya kwanza kupika ilikuwaje? Ulichopika kiliiva?

    Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko😂😂. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko. Vipi wewe, siku ya kwanza...
  9. M

    Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  10. Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

    Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Turudi kwenye...
  11. Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  12. Kwa nini mnajifanya hamli kiporo cha ugali ila wali mnakula

    Unakuta mtu anasema eti halagi viporo ila cha ubwbwa anakula
  13. M

    Kisa cha Manka: Aliambiwa apike wali nazi na mumewe akaweka nazi nzimanzima

    Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi. Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa nzimanzima kwenye wali. Manka anawakilisha wanawake wengi msiojua kipika. Kuna wakati wanaume...
  14. S

    Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  15. Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  16. Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

    Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…