Habari Rais Samia,
Nianze kwa kukupongeza kwa uamuzi wako wa kuwalioa waliofukuzwa kazi kwa kughushi vyeti, ila napenda utambue kuna wengine hawaghushi vyeti bali waliachichwa kazi kwa sababu tofauti kabisa na hiyo.
Mimi nitazungumzia wale walioachishwa kazi kwakuwa tu walibadili kada zao...