walimu kuadhibu wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Accumen Mo

    Kuhusu walimu lazima tuseme, sio kuweka dhihaka mbele

    Wasalaam wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada, suala la walimu kama wametengwa ni jambo la kusikitisha sana. Bahati mbaya watu wameamua kwa makusudi kuwakejeli na kuwaona ni daraja la mwisho katika utumishi wa umma. Kwa wale waliosoma shule miaka ya 2000 kurudi nyuma tunaelewa, walimu...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  3. OLS

    Nikisikia kahamishwa kituo cha kazi, au kushushwa cheo, nitajua Serikali haina mpango wa kutokomeza ukatili kwa Watoto

    Maneno ya utangulizi katika Mpango Kazi Wa Taifa Wa Kutokomeza Ukatili Dhidi Ya Wanawake Na Watoto (MTAKUWWA), una maneno ya kuazimia kufanya Watoto wote wakue bila kukumbana na ukatili wa aina yoyote. Na kimsingi wameweka kuwa ukatili unaingarimu Tanzania takriban dola za kimarekani bilioni 7.1...
Back
Top Bottom