Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004
Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili.
Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
Mheshimiwa
Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!
Taarifa...
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.
Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake.
Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
Tatizo la uhaba wa Walimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari mkoani Geita limefikia asilimia 56 hadi sasa, hali inayosababisha wanafunzi wengi kutofanya vizuri kwenye masomo hayo na kuathiri maendeleo ya elimu mkoani hapa.
Akitoa taarifa ya elimu mkoani hapa wiki iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.