Wakuu,
NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu walikamatwa wakisema wanaendesha jumuiya ambayo haijasaliwa.
Waziri Simbachewene akajitokeza akasema...
Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO)...
https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
"Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023."
"Masuala ya usaili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.