Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini humo ifikapo Disemba 2024.
"Baada ya miaka 25 ya kuwepo, MONUSCO itaondoka kabla ya mwisho wa 2024,"...
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini.
Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa...
Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo.
Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imesema mashambulizi dhidi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, yanaweza kuwa uhalifu wa kivita baada ya kambi mbili za Umoja wa Mataifa kushambuliwa na waandamanaji Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Tarehe 28 mwezi Mei, timu ya madaktari ya kikosi cha 25 cha walinda amani wa China nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) walitembelea Kituo cha kulelea Watoto yatima cha shirika la kibinadamu SOS huko Bukavu wakati Siku ya Kimataifa ya Watoto ikikaribia.
Waliwazawaida watoto wa pale vifaa...
Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia.
Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.