Habari za muda huu.
Watumishi walioajiriwa 2009 wamesahaulika katika taratibu za upandishwaji vyeo.Hebu angalia mfululizo huu wa upandaji katika vyeo kwa kada ya ualimu.
Mtumishi kaajiriwa 2009.Mara ya kwanza anapanda daraja 2013.Mara ya pili anapanda daraja 2019 imepita miaka 6.Mara ya tatu...