Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa...