Jeshi la Polisi limewataka wananchi walioibiwa mali zao kujitokeza katika vituo vya polisi ili kuzitambua.
Wito huo imetolewa ikiwa ni siku chache tangu kuibuka kwa matukio ya uvamizi wa kutumia silaha za jadi, kisha kujeruhi na kupora vitu mbalimbali nyakati za usiku yanayokwenda sambamba na...