https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025.
Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa...
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO.
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari amewataka Viongozi waliochaguliwa kwenda kuwafanyia kazi Wananchi kama walivyoomba na kuacha tabia...
Wakuu mko salama?
Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection.
Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee...
Uhuru wa Kujieleza unamaanisha kuwa Huru kutoa maoni yako kwa njia yoyote ambayo haiondoi Haki za Watu wengine. Unaweza (na unapaswa) kujisikia Huru kukosoa kazi ambayo Viongozi wako waliochaguliwa wanafanya.
Ubadilishanaji Huru wa Mawazo, Maoni na Taarifa hutupatia Maarifa tunayohitaji kufanya...
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA
Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge au Naibu Spika kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge.
Waliothibitishwa na Waheshimiwa Wabunge kuwa...
Tarehe 23 Februari, 2023 Jijini Dodoma, Wizara ya Kilimo imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo biashara...
Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu,
App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
Wanafunzi 2,096 kati ya 2,194 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba, wamefaulu mtihani huo na kupangiwa shule za sekondari za serikali kuanza kidato cha kwanza.
Wanafunzi hao 2,194 wakiwemo wavulana 1,117 na wasichana 1,077 walifanya mitihani yao Desemba 21 na 22, 2022 kwa sababu ya...
Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023.
BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA mwaka wa 2023
Orodha hiyo imetolewa leo Jumanne Desemba 20, 2022 ambayo ni ya...
Mimi labda sijaelewa.
Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023.
Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule ya msingi A wamepangiwa shule moja tu ya sekondari iliyopo kwenye hiyo kata kujiunga na kidato cha...
Wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Waziri wa Tamisemi, Angellah Kairuki imesema kuwa...
Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia
Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi.
Leo wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.