Hakuna Haki ya mtoto wa kike itapotea kisa mimba..
=======
WASICHANA 6,685 wenye umri kati ya miaka 13 na 21 waliokatisha masomo ya sekondari kwa sababu mbalimbali ukiwemo ujauzito wamejisajili kuendelea na masomo kwa njia mbadala chini ya Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari...