Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM.
Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao wasanii walipewa mikopo na serikali.
Amewazid wote mpaka huyo almas, na tembo na kiba
APEWE mkopo haraka...