Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema...
Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi!
Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi!
Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu
Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10.
Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya TRA.
Wakiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi hiyo...
Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mregi (aliyemwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA, Yussuph Mwenda), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na...
------------
MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato.
Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amezindua ofisi hiyo dar es salaam Oktoba 15,2024 .
“Muunganiko huu na...
Wanabodi,
Katika kipindi hiki, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, uchaguzi utakaotupa fursa kama wananchi kutafakari masuala mbalimbali yanayotuhusu kisiasa na kimaendeleo, hatuna budi kupasua kichwa tukiwaza jinsi ambavyo kama nchi tunaweza kujikwamua kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi...
Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania wengi zaidi walipe kodi ili kuchangia uchumi wa Taifa.
Rais Samia amesema hayo leo October 04,2024...
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi...
Wanabodi
Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.
Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF
Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau...
Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.