Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau...