walivyofanya kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"

    Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi. PIA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…