Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya maigizo/muziki, watangazaji katika jiji la Los Angeles.
Baadhi ya vigezo vinavyotumika ili kumpata Mtu...