Sijaelewa imekaaje hii wakuu,
Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara.
Moja Kwa Moja,
Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya biashara yake unaona kabisa haifuati.
Utashangaa kaleta chumvi na maji ya upako ananyunyizia kwenye fremu...