Sijaelewa imekaaje hii wakuu,
Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara.
Moja Kwa Moja,
Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya biashara yake unaona kabisa haifuati.
Utashangaa kaleta chumvi na maji ya upako ananyunyizia kwenye fremu...
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA
Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu kwa jeuri za kisukuma na kiimani kama aliyokuwa nayo MUSA mbele ya Farao unaweza kuwavua nguo.
Huo...
Hawa ni waislam, kwa hapa kwetu husafiri umbali wa kilometa elf 6 kwenda huko Saudia kuupiga mawe mnara wakiamini ni shekhtani
Wakristo nao madhehebu ya walokole wanapangwa na mchungaji wao wachume viboko vya mpera, mpapai, n.k. wanaanza kuitia bakora sakafu